MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MUSWADA WA S...
Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akifungua mkutano wa Sauti za Busara kwenye ukumbi wa Zanzibar Beach
Ndege wa aina ya Korongo wakiwa kwenye baadhi ya viunga vya jiji la Mwanza wakitafuta riski zao
Wamachinga sasa wavamia boti za AZAM
Ipo haja ya wahusika katika vyombo vya usafiri wa bahari kuangalia athari za wafanya biashara ndogo ndogo kufanya shughuli zao nje ya bodi, ...
Inawezekana ni kweli kabisa ikawa ni Farasi wa Chuma lakini, chuma chenyewe kikawa kimeshaanza kuoza, kama ambavyo uchafu huo wa vipande vya mabati na vyuma ambavyo vimo kwenye gari katika jiji la Mwanza, lakini suala la umuhimu ni kujiuliza hizi taka zinapelekwa wapi? na je usalama wa hilo eneo na watu wake ukowapi?
Hayo ndio maisha mapya ambayo kwa kila mwandamu mwenye akili timamu na mwenye uwezo anataajiwa kuyafikia ila yawe na mafanikiwa mema na sio migogoro, harusi ni jambo muhimu katika maisha ya kila kiumbe chenye akili timamu kama binadamu na si wanyawa au ndege ila kinyume chake iwe ndoana badala ya ndoa, kama ambavyo waliwili hawa walivyofarahi katika siku hii muhimu katika jiji la Mwanza
Vijana watakiwa wawe makini
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIMKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI MH...
Balozi Seif asema amani itadumi milele Tanzania
Tanzania itaendelea kuwa ya amani na usalama kufuatia Wananchi wake waliowengi kupenda tabia hiyo licha ya baadhi ya watu wachache kujaribu ...
Viongozi wa Maziwa makuu wanawajibu wakutunza amani na utuluvu kwenye mataifa yao
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU WA MIKUTANO YA KIMATAIFA YA UKANDA WA MAZIWA MAKUU BALOZ...
Jamuhuri ya Watu wa China ni kiungo muhimu katika maendeleo ya Uchumi wa Tanzania
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKISALIMIANA NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA NA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMINISTI CH...
Hudama za meli Zanzibar
Indonesia imeahidi kulifanyia kazi mara moja ombi la Zanzibar la mpango wake wa kuimarisha huduma za usafiri wa kudumu wa meli kubwa za abir...
Taaluma zaidi inahitajika ya kuweza kumlinda mtoto nchini
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa Taaluma kwa Jamii juu ya namna ya kumlinda mototo na majanga yanayotokana na udhalilishwa...
Misaada ya Japan itaenziwa daima
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIZUNGUMZA NA BALOZI MPYA WA JAPANI NCHINI TANZANIA BW,MASAKI OKADA ALIYEFIKA O...
The IV High Level Conference Delivering as One started in Montevideo
From left to right: Dr. Luis Almagro, Minister of Foreign Affairs of Uruguay; Ms. Asha-Rose Migiro, United Nations Deputy Secretary-General;...
Cultural boycott of Swaziland
The Constitutional vision of Arterial Network – a Pan-African network of artists, cultural workers, creative enterprises and others engaged ...
Wasanii na wanamichezo wachangia mfuko wa maafa Zanzibar
Mchango uliokusanywa na Wasanii, Wanamichezo pamoja na Wana habari kwa ajili ya Mfuko wa Maafa kufuatia kuzama kwa Meli ya M.V Spice Islande...
Marekani yakubali kuisaidia Zanzibar
Mamlaka ya Mitaji na Mendeleo ya Jamii ya wa Michigan Nchini Marekani imekubali kuisaidiA Zanzibar katika masuala ya Elimu, Afya na Mazingi...
Zanzibar yatakiwa kutumia vyema waatalamu wake waliyopo nje
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKISALIMIANA NA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA MITAJI NA MAENDELEO YA KIJAMII BW, RO...
100% Zanzibari yafunika Nungwi wilaya ya kaskazini Unguja
Sherehe za maridhiano na umoja wa kitaifa zilizoandaliwa na taasisi ya Swahili Center zinaendelea kwa kasi ambapo kwa Ijumaa iliyopita, vik...
PICHA ZA WANAJUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI WAKIMSIKILIZA BALOZI SEIF IDDI BAADA YA KUJICHANA MLO MCHANGANYIKO WA KICHINA
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIZUNGUMZA NA WANA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOISHI MJI WA TALLAHASSEE ...
Wanaafrika Mashariki watakiwa kudumisha umoja na ushirikiano popote pale duniani
Wana Jumuiya ya Afrika Mashariki wanaoishi Florida Nchini Marekani wameombwa kuendelea kushirikiana pamoja kwa lengo la kutatua matatizo wak...
Balozi Seif Ali Iddi akiwa Florida-Mareekani
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI NA RAIS WA CHUO KIKUU CHA KILIMO NA UFUNDI CHA FLORIDA NCHINI MAREKANI DK.JAMES H. A...
FAMUJ kushirikiana na SUZA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetiliana Saini Makataba wa Mashirikiana kati yake na Chuo Kikuu cha Kilimo na Ufundi cha Florida { FAMUJ...