Viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa na serikali wameshiriki katika mazishi ya bibi Kisa Mohd ambaye ni mke wa Mbunge wa ...
MISRI imejitahidi kurudisha amani Mashariki ya Kati
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia maonyesho ya picha katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mshikam...
Maalim Seif ataka bodi ya mikopo kuacha muhali
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amewataka watendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu Zanzibar kuacha muhali...
UTURUKI kuipendelea Zanzibar
Uturuki inakusudia kutoa upendeleo Maalum kwa Zanzibar ili kusaidia Taaluma na baadhi ya Uwezeshaji katika Sekta za Utalii na Biashara l...
SMZ yaitupia lawama SMT
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imeitupia lawama Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai ya kutoishiriki...
Ubakaji ni Unyama
Neno ubakaji kati upwa huu wa washali ni neon lenye maana pana kijamii na kisheria, ambapo jamii wanadhani kwamba matendo ya ubakaji ni...
Wazazi watakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wao kwa kushirkiana na walimu
Baadhi ya Wazazi, Walimu na Wanafunzi wa Madrasatul Jamiatul Islamia ya Mto Mchanga wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya l...
SMZ: Yafuta umiliki wa ardhi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuonyesha Mkurugenzi wa Kituo cha Kujiendeleza Kielimu Kilichopo Selemu Ndu...
Kitope wakutana na Mbunge wao
Wananchi wa shehia tofauti zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope wamepata fursa ya kukutana na Mbunge wa Jimbo hilo Balozi Seif Ali Iddi kat...
Serikali ya China yaaahidi kuendeleza misaada yake kwa nchi rafiki
Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China kupitia Wizara ya Afya ya Nchi hiyo imethibitisha kuendelea kushirikiana na Mataifa rafiki ya Ba...
Tanzania yahitaji mabadiliko kwenye sekta ya kilimo
Tanzania inahitaji mabadiliko kwa kuwekeza katika kilimo cha kisasa sambamba na kutoa elimu na huduma bora kwa wakulima ili waweze kuendele...
Watendaji wakumbushwa utumishi bora wa umma
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema watendaji wa Taasisi za Umma katika Mataifa ya Bara la Afrika wana wajibu ...
Maalim Seif apongeaza hatua zilizofikiwa na chuo cha afya Mbweni Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema uanzishwaji wa mafunzo kwa njia ya mtandao (e-learning) katika Chuo c...
United Nations Calls for Nominations for Global Public Service Awards for 2013
-The United Nations is calling for nominations for the UN Public Service Awards 2013, an international programme designed to promote and ...
NEWS PRESS RELEASE
Additional Investments in Family Planning would save Developing Countries More than $11 Billion a Year and save lives of Tanzanian Women ...
CUF yaipongeza CCM kwa kuchagua viongozi wapya
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, ameipongeza safu mpya ya uongozi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, na kuishauri k...
SMZ: Jamii yahitaji elimu zaidi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kuwa jamii inahitaji kuelimishwa zaidi juu ya umuhimu wa uzazi wa mpango kwa maendeleo ya nchi na...
Bi Kidude bado yupo jadidi
Busara Promotion ilianzishwa kama NGO ya kitamaduni 2013 hapa Zanzibar. Tukio kubwa linalofanywa kila mwaka ni tamasha la Sauti za Busara....