HOTUBA YA MHE. MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ALI IDDI ALIYOITOA KATIKA UFUNGAJI WA MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR TAREHE 20 APRIL, 2012
1.0 Mheshimiwa Spika, kwanza kabisa naomba tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehma zake za kutukutanisha hapa tukiwa wazima na afya njema na pi...

