Wajasiri amali walishiriki kwenye maonyesho ya TWENDE 2011 Wajasiri amali walishiriki kwenye maonyesho ya TWENDE 2011

  Guest of Honor for TWENDE 2011, Hon. Sophia Simba, Minister of Community development, Gender and Children give excited eye for one o...

Read more »
11:46

Utalii Zanzibar Utalii Zanzibar

Biashara ya utalii kkwenye visiwa vya Zanzibar   ni miongoni mwa vitega uchumi ambavyo kwa sasa sekta hii inaonekana kunawiri katika kil...

Read more »
22:52

Maalim Seif: Awataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye vitambulisho vya taifa Maalim Seif: Awataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye vitambulisho vya taifa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji w...

Read more »
13:37

Mama Asha: Awataka wanawake wawe wavumilivu Mama Asha: Awataka wanawake wawe wavumilivu

Akinamama Nchini wamekumbushwa kuendelea kuwa wavumilivu ndani ya matukio ya uvunjifu wa amani Nchini yanayoonekana   kujichomoza katika ba...

Read more »
13:35

Balozi Seif: Asema jumuiya za chama cha CCM zinaweze zikakosa ufanisi kutokana na baadhi ya tabia za viongozi wa  chama hicho Balozi Seif: Asema jumuiya za chama cha CCM zinaweze zikakosa ufanisi kutokana na baadhi ya tabia za viongozi wa chama hicho

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema Jumuiya za Chama Hicho zinaweza kukosa   ufanisi kutok...

Read more »
20:18

Mwalimu Seif apanga kukutana na waandishi wa habari Mwalimu Seif apanga kukutana na waandishi wa habari

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif   Sharif Hamad, kesho anatarajiwa kuzungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini juu y...

Read more »
21:30

SMZ: Yatakiwa kukiimarisha kitengo cha viungo SMZ: Yatakiwa kukiimarisha kitengo cha viungo

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kufanya juhudi   za ziada katika kukiimarisha kitengo cha   Viungo na Vilema Kiliopo katika Ho...

Read more »
21:27

Poetry Africa 2012 held in South Africa Poetry Africa 2012 held in South Africa

The African Arts Institute is proud to support the Poetry Africa 2012 roadshow when it hits Cape Town for a one-night-only show at the Ca...

Read more »
21:45

SEMINA NA MAONESHO YA TWENDE NI KUANZIA TAREHE 18 HADI 20 YA MWEZI WA KUMI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM.  WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUELIMIKA, KUUZA BIDHAA ZAO NA KUKUZA MTANDAO WA KIBIASHARA KUPITIA JUKWAA LA WANAWAKE WAJASIRIAMALI TANZANIA- TWENDE SEMINA NA MAONESHO YA TWENDE NI KUANZIA TAREHE 18 HADI 20 YA MWEZI WA KUMI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM. WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUELIMIKA, KUUZA BIDHAA ZAO NA KUKUZA MTANDAO WA KIBIASHARA KUPITIA JUKWAA LA WANAWAKE WAJASIRIAMALI TANZANIA- TWENDE

Jukwaa la Wanawake Wajasiriamali Tanzania- TWENDE linatarajia kufanyika kuanzia tarehe 18 – 20 ya mwezi wa kumi 2012 katika viwanja vya...

Read more »
21:34

Sifa bora ya mzazi huonekana kwa mtoto wake jinsi aleavyo Sifa bora ya mzazi huonekana kwa mtoto wake jinsi aleavyo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema sifa sahihi watakayoendelea kupewa   Wazazi popote pal...

Read more »
21:16

CUF: Tanzania yahitaji kuwa na viongozi wenye muelekeo CUF: Tanzania yahitaji kuwa na viongozi wenye muelekeo

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF Taifa Profesa Ibrahim Haruna Lipumba amesema Tanzania inahitaji kuwa na viongozi wenye dira watakaowez...

Read more »
21:44

Zanzibar ni mwenzi mkuu wa CUBA Zanzibar ni mwenzi mkuu wa CUBA

Zanzibar itaendelea kuwa mshirika mkubwa wa Jamuhuri ya Watu wa Cuba kutokana na Historia ya muda mrefu kati ya Mataifa hayo mawili rafik...

Read more »
21:39
 
Top