kwa hakika huu mti ni kivutio tosha kwa binadamu, lakini pia ni madhara tosha kwa mwanadamu kama ilivyo miti na madawa mengine ya kulevya Ba...
Zanzibar na kiti cha umoja wa kimataifa
Waziri Mkuu wa Mwanzo wa Zanzibar Mhe.Muhammed Shamte aliyevaa miwani nyuma ya kibao cha Zanzibar mara baada ya kukubaliwa kuingia katika ba...
ZANTEL yakabidhi zawadi kwa washidi
Meneja masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya ZANTEL Nd.Yusuf Ismail akikabidhi zawadi kwa washidi wa promotion wa Hamis Masms, ambapo m...
Miraa ni biashara halali kenya
Miraa (Mirungi au Gomba) ni miongoni mwa biashara maarufu nchini kenya na kwa kweli ni biashara ambao hufanyika bila ya kificho wala aibu yo...
Por.Ahmed Sh.Nabhany na Ujumbe kutoka Jumuiya ya Uhifadhi Mji Mkongwe Zanzibar
Prof.Nabhany aliyekaa kitako katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe kutoka katika Jumuiya ya Uhifadhi Mji Mkongwe Zanzibar wakati walip...
Ni kivutio kwa Watalii na wageni wafikao Mombasa
Huu ni miongoni mwa mizingani iliyokuwa ikitumiwa na wakolini waliotawala mwambao wa Afrika ya Mashariki na hususan katika Mji wa Mombasa ka...
Teknologia na uharibifu
Kifa kifanana
ukiangalia kwa makini sidhani kama mawazo na hisia zako zitakuwa mbali na mji mkongwe wa ZANZIBAR, lakini kama nilivyosema awali kwamba kifa...
Ni MDELE wa kahawa na vikombe ambavyo vipo kwenye mzungu wa barabara Fort Jesus na OLD TOWN Mombasa
kwa hakika Mdele huu ni mkubwa na hakuna mtu yoyote kwa karne hii ambaye atakuwa na uweza wa kuchukuwa pinidpo utakuwa umejazwa kahawa, laki...
Angalia zinavyopendeza
Uweza kufikiri kuwa hizi gari zipo kwenye mnada. lakini sio kweli kama unavyofiki Hizi ni tax ambazo kwa kawaida hupatika katika Uwanja wa N...
Je nani amemmezamwinziwe ni Simba au TP Mazembe?
kwa mtaji huu wa kutumia vyombo vya habari ni nani aliyemmeza mwenziwe ni simba ambaye leo wametoka na mabao 2-3
kuwepo na katiba mpya ni jambo la maana sana
kwa sasa kila mtu amekuwa na mdomo wa kuweza kupasa sauti yake kwa kuelekeza mabadaliko ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, lakin...
JUHIMKO katika maonesho ya manane ya Taasisi Zisizo za Kiserikali yalofanyika Baraza la wawakilishi Chukwani, Zanzibar
UNESCO yafanya mazungumzo ya ana kwa ana na Uongozi wa Zanzibar Stone Town Heritage Society
Mratibu kutoka Shirika la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Nd. Bakonirina Rakotomamonjy, akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Uhifadhi Mj...
Kumbe Watanzania ni wasanii?
Inawezekana ikawa ni kweli au ni usanii tu kwamba tatizo la DOWANs ni suala ambalo si la umuhimu au?
Viongozi wa 14 mbao ni wanahama wa SADC
Bara la Afrika ni miongoni mwa mabara ambayo yamekuwa yakiandama na kila anaina ya migogoro ambayo kwa njia moja au nyengine yanaweza kuepu...
Indian delegation visited in Tanzania
The Engineering Export Promotion Council (EEPC) from India is visiting Dar es Salaam from 02nd April, 2011 to 5th April, 2011. During the vi...
Je hilo la ZFA kujitakasa linawezekana?
Mimi nadhani tatizo sio ZFA peke yao ila na wizara husika ni lazima ihusike katika kufanya huo utakaso jee hilo linangaliwaje?
Makamo wa kwanza asahau kuondoka na Mwandishi wake kwenda safarini je kwa viongozi wengine itakuwaje/
Kwa kweli inasikitisha sana kwa kiongozi wa ngazi za juu wa serikali ya kwenda katika ziara ya kikazi na hatimae kumsahau mwandishi na mpiga...
Jamuhuri Garden kitulizo cha watoto
Kwa ghafla unaweza ukadhani ni China au India, lakini kwa ukweli halisi hapa ni Zanzibar na ni maarufu kwa jina la Jamuhuri Garden ambapo kw...