kwa hakika huu mti ni kivutio tosha kwa binadamu, lakini pia ni madhara tosha kwa mwanadamu kama ilivyo miti na madawa mengine ya kulevya
Bangi kwa rangi na matumizi imetofautina kidogo na miraa kwani wapo wanaotumia bangi kama ni mboga, dawa za kijadi na pia wapo wanaotumia bangi kama vile pombe na miraa lakini athari za matumizi mabaya kama vile kuvuta ipo pale pale kama miraa kwani, bangi haina tabia ya kumuweka binadamu kwenye mazingira mazuri, ingawaje nchi za ulaya wao inasemekana wameanzisha klabu za uvutaji wa bangi nchini mwao lakini bado madhari na matatizo ni yale yale hayabadiliki hata kidogo

0 comments:

 
Top