Bara la Afrika ni miongoni mwa mabara ambayo yamekuwa yakiandama na kila anaina ya migogoro ambayo kwa njia moja au nyengine yanaweza kuepukika au kutatutuliwa kwa njia za suluhu
Ingawaje yapoa mashirika na vyombo tofauti vya kutunga sheria lakini bado inaonekana kama bara hili halina mwenyewe, kwani kumekuwepo na tofauti kubwa baina ya nchi na nchi, lakini kama hayo hayatoshi hata huo Umoja wa Afrika(AU) bado unaonekana hauna nguvu za kutosha kuweza kuwatetea wanachama wake (nchi za Afrika) ipo mifano mingi tu ambayo kwa njia moja au nyengine inawezekana ikawa ni kikwazo kwa viongozi wa Afrika.
Hii nikutoka na kila kiongozi kuwa na hamu au kupenda kutua ambcho anahisi kwake kina maslahi na si kwa wanachama au wananchi wake
Ipo haja ya kusema umoja ulipo katika nchini nyingi za Afrika ni umoja wa machungwa mktano pakachani na si vyenginevyo

0 comments:

 
Top