ukiangalia kwa makini sidhani kama mawazo na hisia zako zitakuwa mbali na mji mkongwe wa ZANZIBAR, lakini kama nilivyosema awali kwamba kifa kifa nana. kwa hakina hili jengo lipo kwenye mji wa Mombasa karifu kabisa na Port Jesus

0 comments:

 
Top