Meneja masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya ZANTEL Nd.Yusuf Ismail akikabidhi zawadi kwa washidi wa promotion wa Hamis Masms, ambapo mshindi wa kwanza alipokea gari Nd.Hamza Omar na Vespa ni Nd.Mudathir Baraka, makabidhiano hayo yalifanyika nje ya afisi ya ZANTEL Vuga-Zanzibar

0 comments:

 
Top