Mratibu kutoka Shirika la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Nd. Bakonirina Rakotomamonjy, akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Uhifadhi Mji Mkongwe (JUHIMKO) uliopo Jengo la Kastam ya Zamani Mizingani Zanzibar,  Mbele yake kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya Nd. Muhammed J. Mugheiry, pembeni yake ni Katibu wa Jumuiya Nd. Ali Mirza pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe Nd. Issa Sarboko Mkarani.

0 comments:

 
Top