kwa sasa kila mtu amekuwa na mdomo wa kuweza kupasa sauti yake kwa kuelekeza mabadaliko ya katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini kitu cha ajabu ni kwamba wote wanaopiga kelele ni wale ambao wao kwa nia moja au nyengine wapo kwa ajili ya kutunisha mifuko yao na si vyenginevyo.
kama kweli hilo la kutaka kubadlisha katiba ni haki ya kila mwananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali na taasisi zisizo za kiserikali zinapaswa kushirikishwa ipasvyo na si hivyo tu kura ya maoni ndio kitu pekee kitakachoweza kuamuwa muundao na mfumo wakatiba hiyo mpya, jee hili linazingatiwa?

0 comments:

 
Top