Kwa ghafla unaweza ukadhani ni China au India, lakini kwa ukweli halisi hapa ni Zanzibar na ni maarufu kwa jina la Jamuhuri Garden ambapo kwa sasa imekuwa ni sehemu mashuri kwa ajili ya watoto na hata watu wazima, ambao hupenda kupata upope na kujisomea

0 comments:

 
Top