Uweza kufikiri kuwa hizi gari zipo kwenye mnada. lakini sio kweli kama unavyofiki Hizi ni tax ambazo kwa kawaida hupatika katika Uwanja wa Ndege wa Mombasa nchini Kwenye.
Ingependaza zaid kuona mfumo kama huu pia unatumika kwa zile nchini za jumuiya ya Afrika ya Mashari kwa vile nahisi ni mfumo mzuri na unaweza kusaidia jamii na hata wageni watakotembelea katika nchini hizo.
Si dhani kama kuiga kitu kizuri ni aibu au fedheha kwa binadamu yeyote hapa duniani? kwa kweli ni jamboa la kujivunia kwa ndugu zetu wa Kenya kwani mfumo wao wa Tax u aweza kuwa ni kivutio tosha kwa nchi za Afrika ya mashariki, lakini pia upo uwezekano kwa madereva au chama cha madereva wa Tax nchini Tanzania iwe ZANZIBAR au DAR-ES-SALAAM kuiga mfumo kama huu ambao kwa kiasi fulani utaweza kusaidia kuinuwa kipato chao na hata utendaji wao utakuwa ni wa ufanisi zaidi

0 comments:

 
Top