Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali zote mbili zinazosimamia utekelezaji wa Ilan...
NMB yatowa msaada maskulini
Benki ya kuhudumia Wananchi wa Kawaida Nchini { NMB } imekabidhi mchango wa Vikalio 100 kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu katika Skuli...
SMZ yaanda sera ya ardhi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko katika matayarisho ya mwisho ya kuandaa Sera mpya ya Ardhi itakayozingatia hali halisi ya mahitaji n...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wana Habari hawapo Pichani kuhusu muenendo wa Bunge la Katiba unaoendelea Mjini Dodoma
Wajumbe wa bunge la katibu watakiwa kutekeleza kazi zao kwa mujibu wa kanuni
Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wana wajibu wa kutekeleza kazi zao kwa mujibu wa Kanuni walizojiwekea za kuendesha Bunge hilo ili kiuwa ...
Mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Marehemu John Gariel Tuppa aliyefariki Dunia Juzi Tarehe 26/3/2014 ukiingizwa ndani ya Bunstani ya Nyerere Square kati kati ya Vitongoji wa Mji wa Dodoma kwa ajili ya Ibada Maalum ya Kuuaga
Mkuu wa Mkoa wa Mara aagwa rasmi
Mamia ya wananchi na Wakaazi wa Mji wa Dodoma na vitongoji vyake leo wameuaga rasmi mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel T...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia ramani ya ujenzi wa miradi mitatu ya uwanja wa ndege wa Zanzibar, alipofanya ziara ya kutembelea miradi hiyo
Maalim Seif aridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa mira...
CCM wanatakiwa kuzingatia umoja uliyopo
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi wote wamenasihiwa kuendelea kuzingatia mfumo wa Umoja uliopo miongoni mwa jamii utakaosaidia ...
Maalim Seif hakufuraishwa na kauliza Kikwete
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakufurahishwa na baadhi ya kauli zilizotolewa na Rais w...
Manispaa yatakiwa jyweka utaratibu mzuri wa ukusanyaji taka
Baraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapu...
Wanaccm watakiwa kuheshimu mfumo uliopo
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi wote wamenasihiwa kuendelea kuzingatia mfumo wa Umoja uliopo miongoni mwa jamii utakaosaidia ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort Bwana Massliano Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama wajawazito katika Kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wawekezaji washirikiana na jamii katika kuleta maendeleo
Ushirikiano unaoendelea kuonekana Kwenye miradi kadhaa ya maendeleo inayofanywa kwa pamoja kati ya wananchi na wawekezaji ni miongoni mwa...
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikagua Jengo jipya la Tawi la Chama cha Mapinduzi la Kazole pamoja na kukabidhi vifaa kwa ajili ya hatua ya ukamilishaji wa Linta
Balozi Seif apongeza ujenzi wa matawi ya CCM
Zaidi ya asilimia 95% imefikiwa katika ujenzi wa Matawi ya Kisasa ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Jimbo la Kitope liliomo katika Wilaya ya...