Many arguments for speeding up the regional integration process in Africa have been advanced from many quarters – political leaders, econ...
Mwache alale yaibuka kidede
Hatimae Timu ya Soka ya Mwacha Alale United imeibuka na ubingwa wa mashindano ya Kombe la Zaweda ndani ya Jimbo la Kitope baada ya kuilaza ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikifungua Kituo cha kutoa huduma cha PBZ sambamba na uzinduzi wa huduma za kusafirisha fedha kwa haraka { World Remit Money Transfer Services } kiliopo kwenye jengo la Mamlaka ya Mapato Zanzibar { ZRB } Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
Mama Awena awataka walimu kuwapatia wanafunzi mafunzo bora
Na Abdi Suleiman, Pemba. MKE wa makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mama Awena Sinani Massoud, amew...
Wazanzibari wote wanahaki sawa
Wazanzibari wote walioko ndani na nje ya Zanzibar wana fursa, haki na Uhuru wakati wowote kusaidia kwa njia mbali mbali maandalizi na hati...
Wananchi waaswa kujiepusha na tabia mbaya
Wanachama wa CCM na Wananchi wameaswa kujiepusha na tabia ya baadhi ya watu wenye tabia ya kuendeleza matusi na kejeli kwa viongozi wao a...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiingia kuatika mabanda ya maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya saba saba Jijini Dar es salaam akiambatana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed.
The Opening of the Centennial Celebrations Organized in Memory of Albert Schweitzer - July 6-7 2013, Libreville and Lambaréné, Gabon
100 years after Dr. Albert Schweitzer’s arrival in Gabon in 1913, the legacy of the Nobel Peace Prize winner is more alive than eve...
SIDO yapongezwa
Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo vidogo Nchini Tanzania { SIDO } limepongezwa kwa hatua yake iliyochukuwa ya kuwajengea mazingira bora ...
Mabalozi watakiwa kuiwakilisha Tz
Mabalozi wateule watakaoiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbali mbali Duniani wamehimizwa kuitangaza Tanzania kutokana na fursa ilizonaz...
Waandishi watakiwa watowe mapendekezo yako kuhusu rasmu ya katiba ya Jamuhuri
Hayo yameelezwa na Katibu Mtendaji wa baraza la habari Tanzania kwenye mkutano wa baraza la katika katika tasnia ya habari nchini. Aidha K...
Benk zatakiwa kuimarisha huduma zao
Mabenki Nchini yametakiwa kuimarisha eneo la kuhudumia wateja kwa urahisi na haraka zaidi ili kupunguza malalamiko ya wateja wakati wanapo...
AfDB facilitates Africa-Asia knowledge exchange on Universal Health Coverage
Universal health coverage is not an option, but a reality’ ...
Scaling Seeds and Technologies Partnership Will Accelerate Progress to Reduce Hunger, Poverty in Africa
The Partnership will work in four countries within the G8’s New Alliance for Food Security -- Ethiopia, Ghana, Mozambique, and Tanzania ...
Elumelu's Heirs Holdings Commits USD2.5 Billion to Obama’s Power Africa Initiativ
African investment group is the single largest investor to US-led pan-African power initiative ...
SMZ yakusudia kuimarisha sekta ya viwanda
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imelenga kuimarisha zaidi miundo mbinu katika Sekta ya Viwanda ili kusaidia Taifa mapato yake pamoja na ...
The Tony Elumelu Foundation and its Founder to Work with U.S. Agency for International Development (USAID) to Support President Obama’s Young African Leaders Initiative (YALI)
Tony O. Elumelu Chosen as Advisor of YALI’s Alliance on Emerging African Leaders; Foundation to Provide Guidance to the Initiative ...
Vyombo vya dola vyatakiwa kutoa fursa sawa
Vyombo vya dola vimeshauriwa kutoa fursa sawa kwa vyama vya siasa katika kuendesha shughuli zao za kisiasa, ilkiwa ni hatua moja ya kuteke...
Obama Hits Tanzania: AHF Says “No Retreat on AIDS
Obama cut over $200 million from global AIDS programs - the first president to ever cut AIDS funding As President Obama finishes his Afr...