Hayo yameelezwa na Katibu Mtendaji wa baraza la habari Tanzania kwenye mkutano wa baraza la katika katika tasnia ya habari nchini.

Aidha Katibu huyo aliieleza kwamba ipo haja kwa waandishi wa habari na wahariri kujipanga kwa pamoja ili kuhakisha kwamba kwenye rasmi hiyo inazingatia uhuru wa uhariri pamoja na dhana nzima ya uhuru wa habari nchini.

Wakichangia kwenye mkutano huo waandishi wameleza kwamba kwenye rasimu ya marekebisho ya katiba bado haitowi mwanya na uhuru kwa mwandishi wa habari hivyo wameeleza kwamba ni vyema kufanyiwa marekebisho ibara ya 29 na 30 ya rasimu hiyo ili kila mtu afahamu kwa dhati lengo na madhumu ya vyombo vya habari nchini.

0 comments:

 
Top