Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema asilimia 80% ya mapato ya fedha za kigeni zinazoingia Nchini kupitia Sekta...
India yatenga nafasi kwa Zanzibar
Serikali ya India imetenga nafasi kumi maalum za masomo kwa Wazanzibari katika azma yake ya kuendeleza ushirikiano uliopo wa kihistoria ba...
Falme za kiarabu kusaidia Zanzibar
Jumuiya ya Al-Rahma ya umoja wa Falme za Kiarabu yenye Makao Makuu yake Nchini Ras Al- Khaimah imekusudia kuvisaidia Vijiji vyenye mazingi...
Madaktari watakiwa kufuta maadili yao ya kazi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewakumbusha Madaktari Nchini kuzingatia maadili yao ya kazi kama wanavyokula kia...
Kamati ya Mapambo yakutana Zanzibar
Kikao cha Kamati ya Taifa ya Maadhimisho ya sherehe na Mapambo Zanzibar kimekutana kutathmini maadhimisho ya Sherehe zilizopita za Kutimia...
Africa’s Information Highway
PRESS REALESE The African Development Bank (AfDB) has launched Open Data Platforms for the following 20 African countries: Algeria, ...
ICANN President Announces Major Expansion in Africa
Chehadé Calls for an Increase in African Registrars The President of the Internet Corporation for Assigned Names and Numbers (ICANN...
Jamii bado inauelewa mdogo juu ya uhifadhi wa mazingira
Uelewa mdogo kwa wananchi juu ya suala zima la uhifadhi na usimamazi wa mazingira, imeelezwa kuwa ni moja ya changamoto ya usimamizi wa...
Wanted: Young African Entrepreneurs
PRESS REALESE Enter or Nominate Young Businesspeople for Africa’s Richest Youth Entrepreneur Awards – the Anzisha Prize With more th...
African Ministers Discuss Innovation and IP at WIPO Conference
Some twenty African ministers, senior policy makers and enterpreneurs joined President Jakaya Kikwete of the United Republic of Tanzani...
Maalim Seif: Viongozi wapasa kufanya kazi kwa uadilifu
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesema viongozi wa serikali wanapaswa kufanya kazi kwa uadilifu bila ya kuwabagua wananchi kw...
Mvua ya leo Kijitoupele
Baadhi wa waendeshao vyombo vya moto wakiburura vipando vyao kuvuka eneo la Kijito upele ambapo pamekuwa na tabia ya kujaa maji hasa wak...
SMZ: Yakusudia kutuma wataalam kwenye bonde la Kijitoupele
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Miundo mbinu na Mawasiliano inakusudia kuwatumia Wataalamu wake kufanya utafiti utak...
Exset Reveals $20 Technology that Powers Digital Monetisation System for Africa
PRESS RELEASE Exset , pioneers of TV ecosystems for emerging markets, has today revealed how the technology behind its pioneering D...
Picha na matukio katika ziara ya Balozi Seif
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Upenja Nd. Jaffar Ali Haji akimpatia maelezo Balozi Seif kuhusu harakati za maabara za Skuli hiyo baada ya kui...
Vyama vya siasa vyaweza lete maendeleo: Maalim Seif
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesema vyama vya siasa vinaweza kufanya kazi pamoja na kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendel...
Kilombera watarajia kupata maji safi
Wananchi wa Kijiji cha kirombero wanatarajiwa kuondokana na kilio chao cha muda mrefu kilichotokana na ukosefu wa maji safi na salama ...