Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Upenja Nd. Jaffar Ali Haji akimpatia maelezo Balozi Seif kuhusu harakati za maabara za Skuli hiyo baada ya kuikagua

  
Balozi Seif akikagua  mradi wa ujenzi wa Jengo jipya la skuli ya maandalizi ambayo baadaye inatarajiwa kuwa ya msingi na kuahidi kusaidia safuji na nondo kuunga mkono jitihada hizo
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif akimkabidhi saruji, mchanga na matofali Naibu Sheha wa Kirombero Nd. John Ndarami ili kukamilisha ujenzi wa jengo la hifadhi ya kisima cha maji safi na salama cha kijiji hicho

0 comments:

 
Top