Baadhi wa waendeshao vyombo vya moto wakiburura vipando vyao kuvuka eneo la Kijito upele ambapo pamekuwa na tabia ya kujaa maji hasa wakti wa mvua za masika
Sehemu ya kaskazini ya eneo la kijito upele ambalo linaonekana kujaa maji kutokana na mvua za masika zilizoanza kwa kasi mwaka. Mvua hizo zimeshasababisha kifo cha Mwanafunzi Naifat Abdulla Mrisho wa Skuli ya Kijito upele aliyetumbukia kwenye mtaro unaopitisha maji hayo

0 comments:

 
Top