Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wana Habari hawapo Pichani kuhusu muenendo wa Bunge la Katiba unaoendelea Mjini Dodoma Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wana Habari hawapo Pichani kuhusu muenendo wa Bunge la Katiba unaoendelea Mjini Dodoma

Read more »
14:41

Wajumbe wa bunge la katibu watakiwa kutekeleza kazi zao kwa mujibu wa kanuni Wajumbe wa bunge la katibu watakiwa kutekeleza kazi zao kwa mujibu wa kanuni

Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wana wajibu wa kutekeleza kazi zao kwa mujibu wa Kanuni walizojiwekea za kuendesha Bunge hilo ili kiuwa ...

Read more »
14:29

Mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Marehemu John Gariel Tuppa aliyefariki Dunia Juzi Tarehe 26/3/2014 ukiingizwa ndani ya Bunstani ya Nyerere Square kati kati ya Vitongoji wa Mji wa Dodoma kwa ajili ya Ibada Maalum ya Kuuaga Mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Marehemu John Gariel Tuppa aliyefariki Dunia Juzi Tarehe 26/3/2014 ukiingizwa ndani ya Bunstani ya Nyerere Square kati kati ya Vitongoji wa Mji wa Dodoma kwa ajili ya Ibada Maalum ya Kuuaga

Read more »
14:27

Mkuu wa Mkoa wa Mara aagwa rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mara aagwa rasmi

Mamia ya wananchi na Wakaazi wa Mji wa Dodoma na vitongoji vyake leo wameuaga rasmi mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel T...

Read more »
14:20

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia ramani ya ujenzi wa miradi mitatu ya uwanja wa ndege wa Zanzibar, alipofanya ziara ya kutembelea miradi hiyo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia ramani ya ujenzi wa miradi mitatu ya uwanja wa ndege wa Zanzibar, alipofanya ziara ya kutembelea miradi hiyo

Read more »
14:17

Maalim Seif aridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege Maalim Seif aridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa mira...

Read more »
14:09

CCM wanatakiwa kuzingatia umoja uliyopo CCM wanatakiwa kuzingatia umoja uliyopo

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi wote wamenasihiwa kuendelea kuzingatia mfumo wa Umoja uliopo miongoni mwa jamii utakaosaidia ...

Read more »
14:05

Maalim Seif hakufuraishwa na kauliza Kikwete Maalim Seif hakufuraishwa na kauliza Kikwete

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakufurahishwa na baadhi ya kauli zilizotolewa na Rais w...

Read more »
11:58

Ziaara ya Maalim Sief kwenye mji wa Zanzibar Ziaara ya Maalim Sief kwenye mji wa Zanzibar

Read more »
11:56

Manispaa yatakiwa jyweka utaratibu mzuri wa ukusanyaji taka Manispaa yatakiwa jyweka utaratibu mzuri wa ukusanyaji taka

Baraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapu...

Read more »
11:33

Uzinduzi wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma. Uzinduzi wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.

Read more »
11:30

Wanaccm watakiwa kuheshimu mfumo uliopo Wanaccm watakiwa kuheshimu mfumo uliopo

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi wote wamenasihiwa kuendelea kuzingatia mfumo wa Umoja uliopo miongoni mwa jamii utakaosaidia ...

Read more »
11:14

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort  Bwana Massliano  Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama wajawazito katika Kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort Bwana Massliano Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama wajawazito katika Kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Read more »
16:44

Wawekezaji washirikiana na jamii katika kuleta maendeleo Wawekezaji washirikiana na jamii katika kuleta maendeleo

Ushirikiano unaoendelea kuonekana Kwenye miradi kadhaa ya maendeleo inayofanywa kwa pamoja kati ya wananchi na wawekezaji ni miongoni mwa...

Read more »
16:31

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikagua Jengo jipya la Tawi la Chama cha Mapinduzi la Kazole pamoja na  kukabidhi vifaa kwa ajili ya hatua ya ukamilishaji wa Linta Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikagua Jengo jipya la Tawi la Chama cha Mapinduzi la Kazole pamoja na kukabidhi vifaa kwa ajili ya hatua ya ukamilishaji wa Linta

Read more »
10:22

Balozi Seif apongeza ujenzi wa matawi ya CCM Balozi Seif apongeza ujenzi wa matawi ya CCM

Zaidi ya asilimia 95% imefikiwa katika ujenzi wa Matawi ya Kisasa ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Jimbo la Kitope liliomo katika Wilaya ya...

Read more »
10:09

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwapa pole baadhi ya Wananchi ambao nyumba zao zilikumbwa na upepo mkali katika Shehia za Kwaalamsha, Makadara na Mkele Wilaya ya Mjini Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwapa pole baadhi ya Wananchi ambao nyumba zao zilikumbwa na upepo mkali katika Shehia za Kwaalamsha, Makadara na Mkele Wilaya ya Mjini

Read more »
09:58

Wananchi watakiwa kuwa na hadhari kwatika kipindi hiki cha mvua za masika Wananchi watakiwa kuwa na hadhari kwatika kipindi hiki cha mvua za masika

Jamii nchini imetahadharishwa kuwa makini katika kipindi hichi kilichoanza cha msimu wa mvua za masika ambacho kimezoeleka kuwa na matukio...

Read more »
09:52

Three-year effort will intensify protection of Kruger National Park’s rhino population, drawing lessons to address poaching that finances conflict in Africa Three-year effort will intensify protection of Kruger National Park’s rhino population, drawing lessons to address poaching that finances conflict in Africa

The Howard G. Buffett Foundation ( HGBF ) , a private foundation in the United States; the Nature Conservation Trust (NCT), a South Africa...

Read more »
10:38

Africa is not only the last frontier but possibly the biggest frontier for business - DHL Africa is not only the last frontier but possibly the biggest frontier for business - DHL

Last week as he was driving through Johannesburg, a board member of a multi-billion Euro multinational made a rather bold statement, “Afr...

Read more »
10:35

Tafriaja Dodoma Tafriaja Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Tanzania ambae pia ni Waziri wa Nchi anayeshughulikia Muungano Mh.Samia Suluhu Hassan Kushot...

Read more »
14:10

Africa Finance Corporation (AFC) Hosts Inaugural Summit to Address the Scale of Africa’s Infrastructure Requirements and Investment Deficit Africa Finance Corporation (AFC) Hosts Inaugural Summit to Address the Scale of Africa’s Infrastructure Requirements and Investment Deficit

The Africa Finance Corporation (AFC ) , an African-led multilateral development financial institution whose mission is to improve African ...

Read more »
11:46
 
Top