Kilimo kusimamia mashamba Kilimo kusimamia mashamba

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefikia uamuzi wa Mashamba yote ya Serikali yaliyokuwa chini ya usimamizi na uangalizi wa Wizara ya Ard...

Read more »
11:23

A ‘Marshall Plan’ for Africa’s employment challenge A ‘Marshall Plan’ for Africa’s employment challenge

Africa must do more to tackle the threat of unemployment - Tony Elumelu Tony Elumelu, the entrepreneur, philanthropist and chairman of Hei...

Read more »
11:21

Mama Asha ionya jamii Mama Asha ionya jamii

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi ameiasa Jamii kwamba uigaji wa hulka na Tabia za kigeni zinazoonekana ...

Read more »
11:18

Hiki ndicho kijiji kilichoathriwa na moro huko Kaskazini Pemba hivi karibuni Hiki ndicho kijiji kilichoathriwa na moro huko Kaskazini Pemba hivi karibuni

Ni moja kati ya nyumba 14 katika Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni ziliztoathirika kwa moto mkubwa ulitokea majira ya saa 5.0...

Read more »
09:27

Nyumba 14 zateketea kwa moto Kaskazini Pemba Nyumba 14 zateketea kwa moto Kaskazini Pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameiagiza Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba kufanya tathmini mara moja nyumba zo...

Read more »
08:54

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka jiwe la msingi la jengo la michezo ya ndani liliopo pembezoni mwa uwanja wa michezo wa Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya kutimia miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka jiwe la msingi la jengo la michezo ya ndani liliopo pembezoni mwa uwanja wa michezo wa Gombani Chake Chake Kisiwani Pemba ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya kutimia miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964

Read more »
08:53

Wizara yatakiwa kuimarisha michezo Zanzibar Wizara yatakiwa kuimarisha michezo Zanzibar

Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo imeombwa kuzidi kuimarisha michezo ya ndani angalau kwa kuanzia michezo mitatu katika kila ...

Read more »
08:49

SMZ: imefurahishwa na maonyesho SMZ: imefurahishwa na maonyesho

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Sharif Hamad, amesema serikali imepata moyo kuona taasisi, mashirika na wanan...

Read more »
08:45

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kocha Mkuu wa Soka wa Italy Cesare Pzandell ambae  yuko nchini kwa mapumziko ya mwaka mpya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kocha Mkuu wa Soka wa Italy Cesare Pzandell ambae yuko nchini kwa mapumziko ya mwaka mpya

Read more »
13:53

Cesare Psandell aishauri SMZ juu ya kuimarisha soka la Zanzibar Cesare Psandell aishauri SMZ juu ya kuimarisha soka la Zanzibar

Kocha Mkuu wa Italy Cesare Psandell ameishauri Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo ku...

Read more »
13:29

Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege  ya ALTEC hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar Makamu wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar

Read more »
09:07

ALTEC yakusudia kuwekeza Zanzibar ALTEC yakusudia kuwekeza Zanzibar

Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na miradi ya uwekezaji katika sekta ya Viwanda, Bandari na Uwanja wa Ndege ya ALTEC yenye makamu ...

Read more »
08:56

Makamau wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia matayarisho ya mwisho ya maonyesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar hapo uwanja wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar { SUZA } uliopo  Beit El Ras nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Makamau wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia matayarisho ya mwisho ya maonyesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar hapo uwanja wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar { SUZA } uliopo Beit El Ras nje kidogo ya Mji wa Zanzibar

Read more »
08:52

Sheni afungua maonyesho ya miaka 50 ya mapinduzi Sheni afungua maonyesho ya miaka 50 ya mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Moh'd Sheni leo tarehe 2 Januari  2014 anatarajiwa kuyafungua rasmi ma...

Read more »
08:46

CCM watakiwa kuimarisha MUUNGANO CCM watakiwa kuimarisha MUUNGANO

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi alisema kazi kubwa iliyopo hivi sasa kwa wana...

Read more »
10:52

Maalim Seif aipongeza wizara ya Elimu Maalim Seif aipongeza wizara ya Elimu

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesifu hatua ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuweka mikakati i...

Read more »
13:43

TAARIFA KWA UMMAI TAARIFA KWA UMMAI

Itakumbukwa kuwa Serikali iliamua kuanzisha “Operesheni Tokomeza Ujangili” kufuatia kukithiri kwa vitendo vya ujangili katika maeneo yo...

Read more »
13:39

2013 NI MWAKA WA HUDHUNI 2013 NI MWAKA WA HUDHUNI

Kwa miaka kadhaa sasa ni uhamiaji limikuwa likiongozwa na mfululizo wa maneno ambapo kwa njia moja am nyengine maneno hayo yamekuwa yakitum...

Read more »
13:39

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Kinyasini, jimbo la Chaani Unguja Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Kinyasini, jimbo la Chaani Unguja

Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano Mansoor Yussuf Himid akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini jimbo la Chaa...

Read more »
09:07

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wana Maskani ya Wazee wa CCM wa Kijiji cha Ndagaa mara baada  ya kuizindua rasmi, Kulia ya Balozi Seif ni Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mheshimiwa Moh'd Raza Hassan. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wana Maskani ya Wazee wa CCM wa Kijiji cha Ndagaa mara baada ya kuizindua rasmi, Kulia ya Balozi Seif ni Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mheshimiwa Moh'd Raza Hassan.

Read more »
08:56
 
Top