Ni moja kati ya nyumba 14 katika Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni ziliztoathirika kwa moto mkubwa ulitokea majira ya saa 5.00 asubuhi ya jumapili huku wakaazi wake wakichanganyikiwa kutokana na maafa hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba Shehani Mohd Shehani akitoa tathmini ya awali ya uchunguzi wa moto uliotokea Shumba Mjini mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sei aliyefika kijijini hapo kuwapa pole wananchi walioathirika na maafa hayo.
Baadhi ya wananchi 100 ambao nyumba zao 14 zimeathirika na vibaya na moto katika Kijiji cha Shumba Mjini wakipata hifadhi kwenye madrasa moja Kijijini hapo.
Moja kati ya nyumba 14 zilizoathirika na moto katika kijiji cha Shumba Mjini ambapo wakaazi wake wakiwa wamechanganyikiwa kutokana na janga hilo.

0 comments:

 
Top