Customers can transfer money to their Orange Money account directly from their BNP Paribas bank account, or vice versa, simply, quickly and securely  Customers can transfer money to their Orange Money account directly from their BNP Paribas bank account, or vice versa, simply, quickly and securely

Orange and the BNP Paribas group offer retail banking customers in Africa direct access between their BNP Paribas account and their Orang...

Read more »
13:19

CUF waichambua bajeti ya serikali 2014/2015 CUF waichambua bajeti ya serikali 2014/2015

Na, Hassan Hamad (OMKR). Wakati Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akiichambua na kuikosoa bajeti ya Serikali ya mwaka 2014...

Read more »
14:25

CUF inajitayuarisha na mkutano mkuu CUF inajitayuarisha na mkutano mkuu

Na: Hassan Hamad (OMKR) Chama Cha Wananchi CUF kinaendelea na maandalizi yake kwa ajili ya Mkutano Mkuu Taifa utakaoambatana na uchagu...

Read more »
14:23

Ukosefu wa heshima ndio chanzo cha vitendeo viovu Ukosefu wa heshima ndio chanzo cha vitendeo viovu

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi ameonya kwamba ukosefu wa heshima miongoni mwa Vijana ndio sa...

Read more »
14:21

Viongozi wa dini waaswa Viongozi wa dini waaswa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewaasa waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini kujenga dhamira ya kudumisha udugu n...

Read more »
14:19

Mashina ndio nguu pekee ya kuimarisha chama Mashina ndio nguu pekee ya kuimarisha chama

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba mafanikio ya Uongozi ndani ya Mashina ya Chama...

Read more »
14:18

Utamduni wamwambao wa pwani unafafana kwa kiasi kikubwa Utamduni wamwambao wa pwani unafafana kwa kiasi kikubwa

Utamaduni wa Watu wa Zanzibar unaofanana na wenzao wa Pwani ya ukanda wa Afrika Mashariki bado utaendelea kuwa kielelezo cha uhusiano wa m...

Read more »
14:16

The second-place winner will be awarded $300 a month for one year, and the third-place winner will receive $200 a month for one year  The second-place winner will be awarded $300 a month for one year, and the third-place winner will receive $200 a month for one year

APO ( African Press Organization ) , the sole press release wire in Africa and the global leader in media relations relating to Africa, an...

Read more »
14:13

Maalim Seif akumbusha wajibu vya vyombo vya sheria kwa wananchi Maalim Seif akumbusha wajibu vya vyombo vya sheria kwa wananchi

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amevikumbusha vyombo vya sheria juu ya wajibu wa kushirikiana na wana...

Read more »
12:30

Jukumu la serikali lipo muda wote Jukumu la serikali lipo muda wote

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alisema Jukumu la Serikali liliopo wakatio huu ni kujiandaa na ongezeko...

Read more »
11:34

WB lowers projections for global economic outlook, urges developing countries to double down on domestic reforms WB lowers projections for global economic outlook, urges developing countries to double down on domestic reforms

Developing countries are headed for a year of disappointing growth, as first quarter weakness in 2014 has delayed an expected pick-up in e...

Read more »
11:23

Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora

Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptop...

Read more »
11:19

SMZ haikufurahishwa na kitwendo cha kufunga milango ya skuli ya Mchangamdogo SMZ haikufurahishwa na kitwendo cha kufunga milango ya skuli ya Mchangamdogo

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekasirishwa na kitendo cha kufungwa kwa milango ya skuli ya Msingi ya mchangamdogo kufuatia hitilafu ...

Read more »
15:56

East Africa’s first public owned Oil and Gas Company East Africa’s first public owned Oil and Gas Company

Swala Oil and Gas ( Tanzania ) Plc  today announced the launch of its Initial Public Offer Prospectus (“IPO”) of 9,600,000 ordinary shares...

Read more »
15:53

CUF haitowavumilia watendaji wachochezi CUF haitowavumilia watendaji wachochezi

Chama Cha Wananchi CUF kimesema hakitowavumilia watendaji watakaobainika kuendeleza fitna na majungu ndani ya chama hicho. Katibu Mkuu...

Read more »
11:47

Taasisi za kidini zinamchango mkubwa katika malezi ya vijana Taasisi za kidini zinamchango mkubwa katika malezi ya vijana

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seis Ali Iddi alisema kwamba Taasisi za kidini zina mchango muhimu katika malezi ya vijana katik...

Read more »
11:43
 
Top