Maalim Seif aipongeza wizara ya Elimu
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesifu hatua ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuweka mikakati i...
Maalim Seif aipongeza wizara ya Elimu
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesifu hatua ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuweka mikakati i...
TAARIFA KWA UMMAI
Itakumbukwa kuwa Serikali iliamua kuanzisha “Operesheni Tokomeza Ujangili” kufuatia kukithiri kwa vitendo vya ujangili katika maeneo yo...
2013 NI MWAKA WA HUDHUNI
Kwa miaka kadhaa sasa ni uhamiaji limikuwa likiongozwa na mfululizo wa maneno ambapo kwa njia moja am nyengine maneno hayo yamekuwa yakitum...
Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano Mansoor Yussuf Himid akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini jimbo la Chaa...
Balozi Seif ampongeza Raza
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amempongeza Mwakilishi wa Jimbo la Uzini M...
CUF itasimamia misingi ya haki
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema chama chake kitaendelea kusimamia misingi ya haki na usawa, il...
Kituo cha huduama ya sheria Zanzibar ni miongoni mwa urithi muhimu wa Prof.Haroub
Uongozi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar umekumbushwa kuendelea kubakia kuwa urithi wa mchango mkubwa kwa jamii ulioachwa na Mwanaf...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akipokea vifaa mbali mbali vya michezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Hassan and Sons kwa niaba ya wafanyabiashara wenzake Mohd Raza kusaidia mashindano ya Kombaini za wanafunzi wa Wilaya 10 za Zanzibar kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Wizara ya Elimu yakudusia kufufua michezo
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imedhamiria kufufua upya vugu vugu la michezo Nchi...
Milango iko wazi kwa muwekezaji Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kuwacha milango wazi kwa wawekezaji wa sekta tofauti kutoka Nchini Uturuki kuwekeza viteg...
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akimkabidhi Zawadi ya Bao miongoni mwa Mabao 12 Katibu wa mchezo wa Bao Wilaya ya Chake chake Nd. Faki Salum Khamis aliyojitolea kuhamasisha mchezo huo ili wajiandae vyema katika mashindano ya bao kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964
CCM yawalenga wasomi
Chama cha Mapinduzi kinakusudia kutoa kipaumbele zaidi kwa vijana wasomi wa vyuo vikuu waliowanachama wa chama hicho katika kuwapatia furs...
HOTUBA YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, MHE. BALOZI SEIF A. IDDI KATIKA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI JENGO JIPYA LA ABIRIA (TERMINAL 11) NA NJIA YA MAEGESHO YA NDEGE
Mheshimiwa Rashid Seif Suleiman, Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano, Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya ...