Mr.Sugu na gari na toleo jingine jipya la gari yake ambayo amefanikiwa kuitengeneza katika miaka ya hivi karibuni na sasa ipo mtaani inatembea kama ilivyo kwa gari nyengine kutoka Japani au Korea
Retrospectives on Kenyan Filmmakers
2010 was a successful year for Kenyan film. Many of its protagonists are not well known, not even in Kenya, and it is time to pay homage to ...
Tunaweza kujiuliza hizi GARI MOSHI ni nzima au mbovu? kama mbovu kwa nini haziwekwi kwenye sehemu za kumbukumbu (mkumbusho) maalumu kwa ajili ya kizazi kijacho
Ethnomusicology Symposium
The recently turned 90 years old ‘Grandfather’ of the African Music Ethnomusicology, Professor Emeritus J. H. Kwabena Nketia from Ghana is t...
UN to commemorate Mandela Day with Children living with cancer
United Nations Information Centre (UNIC) in collaboration with the South Africa High Commission will commemorate the 2011 International Day ...
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
Ipo haja kwa taasisi ambazo zisizo za kiserikali nchini kuweza kuwapatia misaada ya hali na mali wanawake ambao kwa njia moja au nyengine wa...
Job Advertisement: Editor
The Gender Links, a dynamic Southern African NGO based in Johannesburg, invites applications for the post of Editor of its Opinion and Comme...
Tunahitaji Sheria na Kanuni madhubuti ili kuimarisha Usalama wa Barabarni na hasa kwa madereva wa vyombo vya aina zote ambavyo vimeruhusiwa kutembea barabarani, lakini pia sheria ziangalie matumizi ya simu kwa madereva wa magari,pikipiki n.k
S.S.P Bw. Fortunatus Musilimu akibadilishana mawazo na Mratibu wa Mafunzo ya Usalama Barabarani Bw.Balthazar Kitundu kutoka GIZ Alumni Tanzania ambaye amevaa suti nyeusi na mwenye kaunda suti ni S.S.P Musiimu
S.S.P Bw. Fortunatus Musilimu akiwasilisha mada kuhusu usalama wa barabarani katika mafunzo ambayo yanaendeshwa na GIZ Alumni Tanzania katika hotel ya Top Life Hotel Morogoro
India is Canadian Key Priority in Trade
Canada is deepening trade ties with India as its key priority as the two countries work out the modalities of a Comprehensive Economic Part...
Ni vyema kufanya kazi kwa vikundi ili kurahisisha kazi kwa ajili ya kufikia lengo kama ambavyo washiriki hawa wa mafunzo ya usalama wa barabarani walivyofanya katika kuanda na kuweka wazi mataraji yao katika mafunzo hayo ya siku tano
GIZ wakiwa katika mafunzo ya ROAD SAFETY mkoani Morogoro
Mwana GIZ Alumni Tanzania wakati wa kujitambulisha majina kwa washiriki wengine Ni raha ukiwa na uwezo mzuri wakusikia na kuchingi mada k...