Ipo haja kwa taasisi ambazo zisizo za kiserikali nchini kuweza kuwapatia misaada ya hali na mali wanawake ambao kwa njia moja au nyengine wameonyesha dalili za kutaka kujikwamua kimaisha kama ambavyo dada huyu alinayefanya biashara zake katika eneo la Top Life Hotel Morogoro anavyoonekana katika picha
Ingawaje haikuwa rahisi kuweza kupata jina lake lakini ni dhahiri kwamba wanawake waishio vijijini bado wanakosa fursa muhimu kama ambavyo wanawake wanaofanya biasha kama hizi waishi maeneo ya mjini, si vipaya kuwapa misaada kwani kweke yeye kama ataweza kupatia eneo rasmi lakuweza kufanya biashara zake ingekuwa ni jambo la busara zana kuliko kuwategemezi waukuta (upenu) wa geti au ukuta wa hoteli kujibanza 

0 comments:

 
Top