Mwana GIZ Alumni Tanzania wakati wa kujitambulisha majina kwa washiriki wengine
 Ni raha ukiwa na uwezo mzuri wakusikia na kuchingi mada kama ambavyo GIZ Alumni Tanzania
 Angalia kwa makini
Mratibu wa GIZ Alumni Tanzania Mr.Kitundu akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe.Issa S.Machimbi wakati akifungua mafunzo hayo kwenye hotel ya Top Life Morogoro
 Baadhi waviongozi wa GIZ Alumni Tanzania wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe.Issa S.Machibya  mwenye suti nyeusi kati kati
 Washiki wa mafunzo ya Road Safety wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
 Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mwenye suti nyeusi  Mhe.Issa S.Mahibya katika akipitia kitini chake cha hutuba
Mratibu wa GIZ Tanzania akijiaanda kumkaribisha Mkuu waWilaya ya Morogoro kwa ajili ya kufungu mafunzo ya Road Safety

0 comments:

 
Top