Watu wengi hufika kitandani na kulala kisha kupata usingizi kutokana na sababu mbalimbali. Huenda wamechoka na mihangaiko ya kazi zao au labda wapo peke yao, yaani hawana wapenzi wao. Au muda mwingine huenda wameamua tu kupumzika.
Kama muda huo wa mapumziko ukichukua muda mrefu sana, basi unaweza kuleta madhara mwilini mwako na katika sehemu ya maisha yako. Lakini ni vyema kukumbuka kwamba hakuna kiwango sahihi kwa kila mmoja.
Hii ni kutoka na kutafuta kazi nzuri ili uweze kusihi katika maisha yale uyatakayo na hasi ikihiofiwa kuwepo au kupatika kwa msongo wamawazo unaotokana na hali ngumu ya maisha.
Katika hali hii basi, kama hutoshirikia katika  tendo la ndoa mara kwa mara  na mwenzi wako wa halali, basi utajenga hali ya kutokuwa na mahusiano mazuri kwa mpenzi wako, ingawaje wakati mwengine wenza nao huwa na matatizo yao ya kiafya hivyo hukuna budi kuwastamilia au kutafuta mke mwengine (pili).
 Lakini pia inawezekana ukawa na wake wawili na kama tabia yako ni ya kukaa katika hali ya upweke  muda wote, uenda ukawa na mambo yafuatayo, hasira, hofu au msongo wa mawazo.  Na unapokuwa na mambo hayo, kwa kawaida huwezi kushiriki kwenye tendo la ndoa.
Fahamu kwamba  tendo la ndoa huufanya mwili wako uachie homoni, kama vile oxytocin na endorphins , ambazo zinaweza kukusaidia wewe uweze kuhimili madhara ya msongo wa mawazo. Homoni ya oxytocin ina faida ya kukusaidia uweze kupata usingizi.
Aidha, kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kujisikia kuwa na mvuto na mpenzi wako, hali ambayo hufungua mlango mzuri wa maongezi mazuri na maneno matamu. Wapenzi wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara wao hujisikia kuwa wenye furaha na amani muda wote kuliko wale wanaokutana mara moja kwa mwezi au mara moja  kwa miezi miwili au mara mbili kwa mwaka.
Simaanishi kushiriki tendo la ndoa kila siku, lakini hata mara moja kwa wiki inatosha kabisa huku mkijenga mazungumzo mazuri matamu, na mkiwa na furaha tele moyoni.
Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara husaidia mwili wako kupambana na magonjwa mbali mbali.

0 comments:

 
Top