Mkuu wa Kikosi cha 14 Kambi ya Ali Khamis Vitongoji Chake chake Pemba Luteni Kanali Julius Khombwe Mbwero akimpatia maelezo ya ujenzi wa Majengo ya Skuli ya Ali Khamis Kamp Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyetembelea majengo hayo mara baada ya kuweko jiwe la msingi ya jengo jipya la skuli ya Maandalizi ya skuli hiyo

0 comments:

 
Top