Aliyekuwa Rais wa Timu ya Taifa ya Jang'ombe (watetezi wang'ambo) ambaye pia ni Makamo  Mwenyekiti wa TASWA Zanzibar amefariki dunia leo asubuhi katika hospital kuu ya Mnazi Mmoja, ambapo Marehemu Maulid mwili wake unatarajiwa kuzikwa kesho, Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu amin.

0 comments:

 
Top