Serikali imeshauriwa kufatilia kwa kina miradi ya jamii ili iwe ambayo imepekewa kwa wananchi kwa kutaka iwe imara na yenye kuleta manufa kwa taifa.
Ushauri huo umetolewa na katibu mstaafu wa mradi wa jamii unaohusu vyakula vya nafaka Juma Nyendo Haji alipokuwa akizungumza na mwandishi wa hits fm radio uko ofisini kwajke Upenja wilaya ya kaskazini B unguja.
Amesema kuwa ni vyema serikali kuwa karibu na mradi huo ili kupata msukumo ambao utawasaidia wananchi kuepukana na usumbufu wa kufuata mashine za kusagia nafaka zao.Hata hivyo,katibu hyo ameongeza kuwa kutokana na faida walioipata kupitia mradi wa vyakula vya nafaka wameamua kuuendeleza mradi wa ufugaji wa mbuzi wa maziwa

0 comments:

 
Top