Picha na Michuzi
Unweza ukasema hawa wote wanasubirikukinga maji ili wakatumia katika majumba yao, lakini hali ilivyo ni kwamba wapo hapo kwa ajili ya kununuwa mafuta ya  mafuta ya petroli na dizeli na wala sio maji kama utakavyodhani, tatizo la mafuta lililojitokeza hivi karibuni  Tanzania kutokana na mgomo wa wafanyabiashara wa wanaotaka bei ya mafuta iliyopo sasa ni ndogo hivyo kutaka ibandishwe na kupelekea usumbufu kwa wananchini wa sehemu mbali mbali.
Mgomo huo wa wafanyabiashara ya mafuta uliodumu kwa muda wa siku saba umesababisha usumbufu na shida kwa wananchi hadi siku ya jumanne wabunge na mamlaka ya udhibiti wa nishati na madini- EWURA, kuchachamalia baadhi ya wafanyabiashara na kuwataka watoa huduma hiyo muhimu kwa taifa na jamii kwa ujumla.

0 comments:

 
Top