Hivi ni kweli mgonjwa haruhusiwe kubeba au kuchukuwa jalada (faili) mwenyewe?
Ukiuangalia huu ujumbe unaweza ukasema ni kweli lakini wakati utakapokuwa umelazwa hatika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja unaweza ukakuta hili jambo lipo kinyume kabisa kwani si tu kulibeba bali unaweza ukalichukuwa na kutembea nalo karibu hospitali yote na hata kama unaweza kwenda kulitoa photocopy basi hakuna mashaka yoyote hapa suala la msingi ni kujiuliza jee hii ndio misingi  na kanununi za kitabibu?

0 comments:

 
Top