Kama ilivyo ada kwa watu wa Ufaransa kuhakikisha utamaduni  wao unakuwa na kuenea katika bara la Afrika kwa hivyo basi sasa ni zam ya Zanzibar kuwa na ofisi au kituo cha kuendeleza utamaduni wa Kifaransa, ikiwa ni pamoja na kusomesha lugha hiyo kwa wanyeji visiwa hivi, ambapo sasa itaweza kuwaunganisha na wenzao wa Dar-es-salaam pamoja na Arusha

0 comments:

 
Top