Ni kweli msiba umeshatokea na nivyema vyomba vya habari kuwataarifu wananchi kile kilichojiri katika ajali hiyo, lakini kitu ambacho nimekiona ni pale magazeti yapotoa baadhi ya picha katika ukurasa wa mbele kwa kumaanisha kwamba na huyu naye alikuwemo kwenye ajili hiyo.
lakini kitu kibaya na cha ajabu ni pale unapoanza kuisoma habari yenyewe kuanzia mwanzo hadi mwisho bila ya kuona habari inayomuhusu mtu ambaye ametoneshwa kwenye picha iliyoppo ukurasa wa mbele jee kufanya hivyo ni sahihi au ni kuipotosha jamii?

0 comments:

 
Top