
Aidha hii ni bendera ambayo ilitumika katika Jamuhuri ya Tanganyika mara baada ya kuondoka kwa wakoloni wa KIENGEREZA mwaka 1961-1963

Hii ni bendera ya kwanza ya iliyokuwa jamuhuri ya watu wa Tanganyika ambyo ilitumiwa watala wa KIENGEREZA mara baadaya ya WAJERUMANI kuondoka mwaka 1919 - 1961
0 comments:
Post a Comment