
Bendera hii ya Tanzania iliasisiwa rasmi mwaka 1964 mara baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo zipo baadhi ya rangi inawezekana ilichukuliwa kutoka katika bendera ya Zanzibar.Hata hivyo ni vyema kufahamu kwamba kila upande ulitoka herufi tatu tu, ambazo ni
TAN kwa kuiwakilisha Tanganyika na
ZAN kwa kuiwakilisha Zanzibar herufi mbili za
IA nilitokea wapi?

ipi kati ya bendera hizi mbili ndio sahihi?
0 comments:
Post a Comment