Hii ndio bendera mpya kwa Visiwa vya Zanzibar tukiachilia mbali zile mbili zilizotanguliwa awali ambapo hii iliasisiwa mwaka 2005 chini ya uongozi wa Rais wa sita Mh.Aman Abeid Aman Karume(simba mtoto)
Hii ni bendera ya pili kwa iliyokuwa Jamuhuri ya watu wa Zanzibar ambapo bendera hii ilitumika mara baada ya Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 na iliachwa kutumiaka mara baadaya Kuziunganisha nchini mbili ambayo ile ya Zanzibar na Tanganyika na kuzaliwa taifa jipywa lijulikanalo kwa jinala TANZANIA

hii ni bendera ambayo iliondoka Zanzibar mara baada ya Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 hapo awali bendera hii ilitumika kuitambulisha Zanzibar kama dola rasmi katika Bara la Umoja wa Kimataifa Zanzibar ikiwa na kiti cha 113 mwaka 1963



0 comments:

 
Top