Jumla ya waandishi wa habari ishirini kutoka katikia visiwa vya Zanzibar, wamehudhuria mafunzo maalum ya yahusuyo juu ya namna ya kutengeneza blogs

aidha, mafunzo hayo yaliratibiwa na MISA-Tanzania ba kuendeshwa na Mkufunzi Johnson kutoka nchini Finland.

hata hivyo, mafunzo haya ya kutengeneza blog ni muhimu kwa waandishi kwani itawezesha kufunuwa macho jamii kwa kuweza kuwafahamisha kile ambacho kinatendeka katika jamii ya kizanzibar na tanzania kwa ujumla

0 comments:

 
Top