POLISI ZANZIBAR YAWAONYA WAFANYABIASHARA

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi-UngujaACP Bakari Kh.Shaaban, amewataka wafanya biashara wamijini Unguja kucha tabia ya kuhifadhi fedha zao majumbani kuwa makini, kutokana na wimbi la matukio ya kihuni yaliyoshamiri nchini.

Aidha Kamanda huyo wa Mkoa wa Mjini, katika taarifayake hiyo imefafanua kwamba watu wenye kuendeshavitendo hivyo vya kiharamia aghlabu huwa ni kundilililoundawa na watu wasiopungua sita, na ametowa wito kwa wafanya biashra wote wa mji wa Unguja kuacha tabia ya kuhifahai fedha zao majumbani na badala yake wazipeleke kuhifadhiwa katika sehemuzinazohusika .

hata hivyo, kamanda Shaabani ameeleza kwamba, kwamujibu wa uchunguzi wa jeshi la polisi limebainikwamba kunauvujaji mkubwa wa taarifa zakuhifadhi pesa zinazowekwa maofisini, majumbani auhata wakati wa kuzisafirisha,kutoka sehemu moja kwenda nyengine .

aidha kamanda Shaaban, alitolea mfano tukio la tarehe9 novemba 2008, lililotokea katika eneo la kikwajunimjini Unguja, wakati mfanyabiasha Salum MasoudMoh'd,alipokwenda bandarini kupokea pesa zilizotumwakutoka Pemba kiasi ya shilingi milioni kumi, na baadaealivyang'anywa kwa vitisho vya maharamia hao .

mbali na hilo, tukio jengine la unyanganyi lililotokeakatika eneo la Mchangani, mjini Unguja majira ya saa9:45 alsiri ya novemba 11, 2008, kundi la wahalifuwaliojifanya wagonjwa na kwenda kwa Bi Mariam SalehJidawi kwa ajili ya kupata tiba, waliweza kuitumiafursa hiyo na kufanikiwa kumpora shilingi milionitisini taslim(90,000,000/=), ambazo zilikuwazimehifadhiliwa nyumbani kwa bibi huyo.

katika mfululizo wa matokeo ya kihalifu ACPShaaban alizidi kufafanuwa kuwa, mnamo tarehe 25 yamwezi huo huo wa novemba 2008, katika eneo laMkunazini, kwa mfanya biashara Sadiq Seif Din HassanBai(57) Bohora aliweza kunyang'anywa shilingi milionisaba(7,000,000/=, hii ilitoke mara tu baada yawahalifu hao kufanikiwa kulizingira gari lake, hivyowaliweza kumtokea na mapanga hivyo basi walifanikiwakuzichukuwa fedha hizi kiurahis zaidi.matoke mengine ya uhalifu ni lile la hivi karibuni,kama lilivyoeleza kutoka kwa Kamanda Shaani, wizi washilingi milioni moja na lakini saba( 1,700,000/=)nyumbani kwa Bw.Ali Moh'd Omar huko nyumabani kwakeMombasa nje kidogo na mji wa Zanzibar na toke lamwisho ni lile na tarehe 5 disemba 2008, ambapo mfanyabiashara Abdilahi Daud Sharif(21) ambaye yeyealinyang'angwa shilingi milini moja na laki tano(1,500,000/=)pamoja na kadi za simu mara tu baada yakufanya duka lakeaidha kutoka na hali hiyo ya kushamiri kwa vitendo vyawizi na uhalifu vilivyokithiri majini hapa, KamandaShaabani ameeleza kwamba ni dhahiri matuykio hayo yiteyalimetoke kutokana na kuvuja kwa taarifa za wamilikiwa fedha hizo.kutokana na hali hiyo basi kamanda Shaaban alisemakwamba kazi kubwa ya jeshi la polisi ni kulinda malina usalama wa raia, hivyo basi ni vyema kwa wafanyabiashara kuweza kutoka taarifa mapema katika kituo chapolisi pindi tu anapotaka kussafirisha au kutoka nafedha kwa ajili ya usalama wake na mali yakemwsiho
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

0 comments:

 
Top