Ni kipindi kirefu sasa taasisi za mbili za kihabari zimekuwa hazifahamiani vizuri kitu ambacho kwa kiasi kikubwa kimekuwa kikichangia kudumaza sekta ya habari katika kisiwa cha Unguja.

kwa kweli inashangaza sana kuona Mratibu wa Baraza la habari Tanzania kanda ya Zanzibar wanakosa kufahamia vyema na Katibu Mtendaji wa Zanzibar Press Club, kwa sababu binafsi tu, ambazo kwa uhakika huziwezi kusaidia kuinuwa au kuendeleza sekta ya habari nchini.

ugomvi na chuki binafsi si kitu cha maana sana kwani hakiwezi kuiletea jamii ya wanahabri wa upande wa visiwa vya Unguja kifikia maendeleo kama ya wenzano wa Tanzania bara.

0 comments:

 
Top