Freddie Mercury ni mwanamuziki nyote anayetamba kwa miondoka ya Jazz nchini Uingereza na nchi ya viunga vya mji huu wa Queen Elizabeth.

Ingawaje ni vigumu kuamini lakini ni ukweli usiofichaka kwamba nyota huyu amezaliwa katika visiwa vya Zanzibar mano tarehe 5 September 1946. Wazazi wa Freddie Mercuri walikuwa wakijulikana kwa jina la Bomi na Jer Bulsara
Freddie Mercury alipata elimu yake ya msingi na sekondari nchini India, kutoka mwaka 1955 mapaka 1963. Mwaka 1964 Freddie na wazazi wake waliahamia Uingereza na kutokana na hali hiyo basi Freddie alivutiwa zaidi na maisha ya ugenini kuliko yale ya asili aliayotoka nao Zanzibar.

Na katika mwaka 1966 Freddie alianaza tena kusoma katika chuo kijulikanacho kwa jina la Ealing College of Art, ambapoa alimaliza masomo yake 1969. Kwa hakika Mercury alipenda sana masomo ya sanaa na kwa maana hiyo basi muda mwingi Freddie aliweza kushiri8kiana na rafiki zake katika kuanda bendi yao ya muziki jina la bendi yao ilijulikana kama Smile.

kutokana na hali hiyo basi mnamo mwaka 1970 rafiki zake Freddie Brian May na Roger Taylor walimuacha mkona na hapo ndipo ilipokuw muada mwafaka kwa Freddie Mercury kuanza kuonekana kama ni muimbaji mwenye kipaji chake. Aidha Freddie Mercury amefariki mwaka 1987 kutokana na ugonjwa wa UKIMWI hii ni kwa mujibu wa maelezo ya rafiki yake wa karibu Jim Hutton

0 comments:

 
Top