Kila kiumbe chenye uhai kama vile wanyama na binadamu, pindi baada ya kushiba hupenda kupata mapumziko yaliyo ya halali kwa ajili ya kumarisha afya zao.
Kwa binadamu kitu cha msingi katika mapumziko, kwa wanandoa nit endo la ndoa, kitu ambacho kinahitaji utulivu na uvumilivu.
Lakini endepo mwanamke atakuwa anapata maumivu makali wakati wa kufanya tendo, halii hiyo kwa kitaalamu inaitwa" Dyspareunia ".
Kwa kawaid tendo la ndoa huwa ni lenye kuleta faraja na starehe kubwa kwa mke na mume. Lakini jambo lafuraha huenda likawa na karaha kwa sababu wapo baadhi ya wanando pindi wanapokutana mmoja wapo hukosa raha na hamasa la tendo.
Hii ni kwa sababu wapo baadhi ya wanawake, huwa wanapatwa na maumivu makali wakati wakikutana wa wenza wao. Kitu ambacho husababisha usumbufu kwa wanadoa na baadhi yako kukata taama na kutokuta kushiki tena kwenye tendo la ndoa.
KUKOSA HISIA KATIKA TENDO LA NDOA
Miongoni mwa sababu kuu ya mwanamke kupata maumivu wakati wat endo ni kukosa hisia na hamu ya tendo lenyewe, hii ni kutokana ama na maradhi au sababu za kibaologia, kwa mfano wapo baadhi ya wanawake ambao wanaishi na kisukari pia nao hukutana na halii kama hii, hivyo ni juu ya mwaamme kujua hali ya mwenziwe.
Mara nyingi mwanamke mwenye hali hii, sehemu ya uke wake huwa kavu na ndio chanzo cha kupata maumivu.
MAAMBUKIZI
magonjwa ya zinaa kama vile pangusa au kisonono yanaweza kusababisha maumivu ya nyonga wakati mwanamke anapofanya tendo la ndoa.
Hivyo mwanamke anapokuwa akihisi maumivu katika maeneo ya mashavu ya uke, yaweza kuwa kwasababu ya vipele au michubuko inapojitokeza.
Kumbuka kwamba hata maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri huwa sio magonjwa ya zinaa lakini nayo pia yanaweza kumfanya muhusika ajisikie maumivu, muwasho au hali ya kuwaka moto pale anapojamiana.
UKOMA WA HEDHI
Mwanamke anapofikia kipindi cha hedhi kukatika, basi vichocheo au homoni za tendo la ndoa hushuka chini kabisa, hali ambayo humpelekea mwanamke maeneo yake ya uke kukauka na kumfanya kuwa na michubuko.
Kukauka kwa uke ni hali inayotibiwa kwa urahisi sana lakini inaweza kusababisha mateso makubwa kwa mwanamke pale inapomzuia kufanya tendo la ndoa.
Kiwango chake cha homoni ya estrogen ndicho hufanya misuli ya uke wake kuwa yenye afya na pia husaidia kuzalisha na kutoa uchafu ambao sio tu kwamba husafisha eneo la uke, bali pia hutoa ute wenye kulainisha uke wakati wa tendo la ndoa.
Hali hii huepelekea kuta za uke kuwa laini kitaalamu huitwa, “ Vaginal Atrophy ” hali ambayo hupelekea kupatikana kwa maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
MISULI YA UKE KUBANA(VAGINISMUS)
Kitu kingine kinachosababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa ni pale ya misuli ya uke inapokuwa imekaza, hali ambayo husababisha misuli ya maeneo ya nyonga kubana kabisa.
Endapo halii ikitokeza, ni lazima ufamu kwamba mwanamke atakaposhiriki tendo la ndo atapata maumivu makali ukeni.
Kukakamaa kwa misuli ya uke kunaweza kuharibu kabisa maisha ya mwanamke na kumsababisha yeye apoteze ujasiri wa tendo la ndoa. Pia hali hii humpelekea mwanamke kuwa na matatizo katika mahusiano hata kumfanya mwanamke asipate ujauzito.
KUOTA KWA TISHU JUU YA UKUTA WA NDANI WA TUMBO LA UZAZI
Kuota kwa tishu ndani ya ukuta wa tumbo la uzazi husababisha maumivu ambayo hujitokeza wakati mwanamke anapofanya tendo la ndoa.
Tishu hizo hufanya kazi kama tishu za ukuta laini wa tumbo la uzazi kwani huota pia nje ya tumbo la uzazi. Viungo vya uzazi huzunguka kidogo wakati wa tendo la noda, na kama tishu zina majeraha au vidonda husababisha nyonga na shingo au mlango wa kizazi kupata maumivu. Mbali na hayo, kuota kwa tishu kunaweza kutokana na vivimbe kwenye vifuko vya mayai ambavyo vinaweza kusababisha maumivu kwa muhusika.
Kumbuka kuwa, uvimbe kwenye mayai husababisha mwanamke kuhisi maumivu makali wakati anapofanya tendo la ndoa.
Kwa tiba na ushauri Usisite kuwasiliana na Dr.Ramsey 0774 053995
0 comments:
Post a Comment