Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd. Issa Sarboko Makarani akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Juhudi zilizochukuliwa na Kampuni ya ASB Holdings za ujenzi wa Hoteli ya Daraja la Saba Shangani uliozingatia mpango wa Umoja wa Mtaifa ya Uhifadhi wa Mji Mkongwe.

0 comments:

 
Top