Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wawekezaji wa sekta tofauti za Kiuchumi kutoka Nchini Italy Hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kulia yake ni kiongozi wa Ujumbe Huo Profesa Martin Antonio Morina.
 
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Uongozi mpya wa Wizara ya Fedha ya SMT Ukiongozwa na Waziri wake Mh. Saada Mkuya ulipofika Ofisini kwake Vuga kujitambulisha rasmi mara vbaada ya kuteuliwa rasmi kushika nyadhifa hizo.
 
 Waziriwa Fedha wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Saada Mkuya akielezea mikakati ya Wizara yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi mpya wa Wizara ya Fedha ya SMT uliofika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Fedha wa SMT Mh. Saada Mkuya, Kushoto ya Balozi ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Adam Malima na nyuma yake  Naibu Mwenzake Mh. Mwigulu Nchemba. Wa kwanza kushoto waliosimama nyuma ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Nd. Khamis Mussa.
 
Picha na Hassan Issa wa – OPMR – ZNZ

0 comments:

 
Top