Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanja cha kufurahisishia watoto cha ZSSF – UHURU Kariakoo kinachojengwa chini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia ramani ya baadhi ya majengo na pembea zinazotarajiwa kujengwa ndani ya kiwanja cha kufurahisishia watoto cha ZSSF – UHURU Kariakoo.
Baadhi ya misingi ya majengo na pembea zilizoanza kujengwa ndani ya kiwanja cha kufurahisishia watoto cha ZSSF – UHURU kilichopo Kariakoo kati kati ya Mji wa Zanzibar.



0 comments:
Post a Comment