Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk, akizungumza katika hafla uzinduzi wa safari za ndege moja kwa moja kutoka Johannersburg hadi Zanzibar katika hoteli ya Lagema, Nungwi.
 Balozi wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Thamduycse Chilliza  akizungumza katika hafla uzinduzi wa safari za ndege moja kwa moja kutoka Johannersburg hadi Zanzibar katika hoteli ya Lagema, Nungwi
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania Thamduycse Chilliza, walipokutana kwa ajili ya uzinduzi wa safari za ndege za moja kwa moja kutoka Johannersburg hadi Zanzibar huko hoteli ya Lagema, Nungwi.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Shirika la ndege la MANGO kutoka Afrika ya Kusini pamoja na baadhi ya watendaji wa SMZ (picha na Salmin Said, OMKR)

0 comments:

 
Top