Burudani toka Uganda Hii ni miongoni mwa ngoma maarufu nchini Uganda kama vile ngoma ya Msewe visiwani Zanzibar, ngama hii pia huchezwa kwenye sehemu mbali mbili za tafrija muhimu nchini Uganda.
0 comments:
Post a Comment