Ingawaje Michael Jackson ametangulia mbele ya haki, lakini si dhani kama ataweza kusahaulika mara moja kwenye nafsi za mashabiki wake, kwani watoto watatu wa Mfalme huyo wa Pop dunia ambao ni  PRINCE (14), PARIS (13) pamoja na BLANKET (9) kwa pamoja wameanza kufaidika na matunda ya kazi nzuri aliyoifanya marehemu Jackson wakatika wa uhai wake.

0 comments:

 
Top