Hii siyo ngoma halisi ni mfano tu wa ngoma ambazo zilikuwa zikitumika kwa wito wa mkutano( hasa enzi za Machief)
 Hii ni ramani halisi ya Tanzania iliyopo chini ya ngoma ya Bujola

 Ni zana halisi za kizamani ambazo zilikuwa zikitumiwa na jamii ya Wasukuma
 Mratibu wa GIZ Afrika ya Mashariki Bw.Kitundu akikaguwa baadhi ya vifaa asili vya Wasukuma



 Ngoma hii inasadikiwa kuwa inatakribani miaka mia moja (100) ambayo ni sawa na karne moja sasa ni kivutuo tosha kwa Wasukuma asili
Ni sememu ya madhabahu iliyopo katika kanisa liliyopo kwenye eneo la makumbusho ya Bujora- Mwanzan

0 comments:

 
Top